Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Mpira wa kasi simba hawaweziHao watu wakukimbia zaidi ya Berkano wapo basi
Umri kipengele hapo
Mpira wa kasi simba hawaweziHao watu wakukimbia zaidi ya Berkano wapo basi
Umri kipengele hapo
Washamba tu ndio wanaamini penati na kadi nyekundu ni upendeleoNasikitika sana huku hakuna penaiti Wala Kadi nyekundu
Bado hujasema😅😅🤌Tumezidiwa sanaa
matejoo umeend mbali kusanya tu vijana wa pale ungalimi uone wanavoifumua hii koloSimba hii ikikutana na Matejoo Rangers iliyotimia bila majeruhi lazima ipigwe na kombe libaki kata ya Ngarenaro.
Sikufungwa kwa aibu kama nyieBebwa na ww kama kazi rahisi
Mbona kama sisi kolo tumezidiwa sana 😃😃😃RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu
Ndo nasema. Muda wenu huu wa kufurahi.Bado hujasema😅😅🤌
Una maana nyashi za mtaa wa msimbazi zinapapaswa kila sekundeJamaa wana balaa? Sekunde wako golini!
Oyaaaa 🙌🏾🙌🏾