Inasikitisha sana 😭😭😭😭
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]walivoona tumeshinda ugenini kwenye Ile fainali wakadhani ni rahisi kama kucheza na Pamba nyepesiUnaenda fainali kwa papatu papatu unategemea kubeba kombe na Mpanzu, nyie mna akili kweli?
Mpira mnauona lakini? Jamaa wanateleza kama kambale [emoji1787][emoji1787][emoji1487]
Ni fainali, wanalitaka kombe. Tumezidiwa.Hawa jamaa inaonekana wamepania haswa
Mleta uzi hatuoni Live updates....RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu
🤣🤣🤣Lolote liwakute 😎