Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Vinapigwa visigino hapa makolo wanashangaa hawa Yanga nini?
Kama mlimfunga kwao kwanini ham hamkupewa kombe?Mmeona fainali zinavyochezwa? Sisi tulimfunga Mwarabu kwao, nyie ndani ya 15 minutes Taifa limeshadhalilika.
Bwana kibu anaruka hadii sarakasi lakini wapiKumbukumbu zikae sawa, hakuna Tatu malogo wala penati za kindezi. Tumekaa pale✋✋
Kwendraaa huko kengee wee. Sie tunataka simba washinde tupate mbususu wee unataka kuleta kauzibe hapaMtaliwa viboga leo mpk mshindwe wenyewe… 😹😹😹
Kwa Timu gani mliyonayo ya kushindana na Beekane mabingwa wa Morocco?Bwana kibu anaruka hadii sarakasi lakini wapi
IQ yao ipo mbali sana ukilinganisha na kina KibuHawa wajomba ni wajanja sana wamkuu.
Wanaakili nyingi.
Mnapigwa kavu leo 😹😹😹Kwendraaa huko kengee wee. Sie tunataka simba washinde tupate mbususu wee unataka kuleta kauzibe hapa