Nakubaliana na wewe.Safi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
Na huo ndo uwezo wenu 😃Simba tunacheza kama maiti
Berkane sio KMC au PambaMpanzu simuoniiiiiiiiii
Kwani kayombo anasemaje si aje kutusaidiaRS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu
Bila Tatu MalogoNa huo ndo uwezo wenu [emoji2]
Hawa wameshapagawa...Simba tunacheza kama maiti
Marehemu Simba aliuliwa na berkane kikatiliSimba tunacheza kama maiti
Mtaliwa viboga leo mpk mshindwe wenyewe… 😹😹😹Tulia wewe mwananchi....hawa wetu mbona weupe kabisa.