Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Refa Kefa Kayombo njoo haraka uokoe jahazi
Simba wako wanafanywa pekupeku manina zaoEti kwa Mkapa hatoki mtu, mara kombe linakuja tunalitembeza Tz nzima. Labda vikombe vya chai...
Simba atabondwa hata game ya pili, hapo ni Matumla vs TysonBado goli moja kombe la shirikisho liende Berkane.
Mwalimu, tayari tumeshajua kuhesabu mpaka ith-naanTukifunze Kuhesabu kwa kiharabu Wajomba itatusaidia sana Hii.😅😂
•1 (waah-heed)
•2 (ihth-naan)
•3 (theh-lah-theh)
•4 (ahr-uh-bah-ah)
•5 (khahm-sah)
•6 (sih-tah)
•7 (sah-bah-ah)
•8 (theh-mah-nee-yah)
•9 (tih-sah)
•10 (ahr-shuh-rah)
Huyo beki kwenye mechi kubwa anapotea, yaan hapantayari wameshaumiaSUB KWA SIMBA
Hamza OUT
Che Malone IN
Yapigwe kabisaa japo mi Mwenyew msimbaz lakin angalau natembea na No reformsSafi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
Tulia wewe mwananchi....hawa wetu mbona weupe kabisa.Utaruka na pumbunyo zako, mshakazwa tayari 😹😹
Leo kolo mnakula 4 😁😁RS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu