FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Safi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
 
Utofauti wa madaraja unaonekana hapa. Hamza anacheza kifaza sana, habadiliki. Kagoma mpaka muda huu ameshindwa kuscan mchezo
 
Safi sana pigeni haya matakataka ya Tanzania mmekalia simba na Yanga kenge kweli. Simba na Yanga zinatumika kisiasa kuwapumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya. Dawa ya hizi timu ziendelee kufungwa. Berkane piga haya matakataka
 
I knew it!!!
Screenshot_20250517_221606_Google.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂View attachment 3337440
Kwanin unafurahia hili dhaama? Huna uzalendo kabisa au wewe ni ndugu yake na hakimi?
 
Back
Top Bottom