Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Huyu Admin achunguzwe uraia wake sio Kwa ushap wa hivi.
Usiseme kwa sauti wanaweza wasirudi kipindi cha piliHapa 5+ zipo
Kwani wao wana nguvu gani endapo CAF ikaamua isipigwe Taifa?Naona simba wakikubali fainali ipigwe Zanzibar tu
Nzuguto njoo utuokoe huku. TwafaaaaaaaKigagulo kinakujaaa😀😀😀
Usiseme Kwa Sauti Kwa Sasa WameshachanganyikiwaTukisemaga humu ndani mnabebwa hamsikii..😂