FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

20250517_221823.jpg
 
Duh!, kubababake hii inaitwa back to school mwanangu, yan as if jamaa wapo wengi kuliko vijana wetu
 
Mechi kocha kaicheza kizembe sana anataka kushindana na hawa jamaaa. Bora angeweka viungo watatu wa kukaba then huku tanzania ndio tukaweka mfumo wetu.
 
Kwanin unafurahia hili dhaama? Huna uzalendo kabisa au wewe ni ndugu yake na hakimi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
download (3).jpeg
 
Back
Top Bottom