ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Simba ni wahuni pia ni wanasiasa hawawezi fika mbali🕺🕺🕺🕺🕺
Pamoja na Berkaneeeeeee 🧡🧡🧡🧡💪!
Wasenggg wanacheza mpira nyieeee uwiiiiii!
Simba ni wahuni pia ni wanasiasa hawawezi fika mbali🕺🕺🕺🕺🕺
Pamoja na Berkaneeeeeee 🧡🧡🧡🧡💪!
Wasenggg wanacheza mpira nyieeee uwiiiiii!
Wanaogopa kusema "hatuchezi"magoli anasema "sisi hatutakuwa tayari kucheza"anaweka sentensi iwe ndefuMuulizeni magori bado anatamba na kauli ya yanga!maana wametuibia kauli mbiu """"HATUCHEZI"""
Sio kushindaLabdah nje ya Berkane ila Hapa kupata tatu Leo ngumu
Huna ubavu wa kumfunga Berkane goli 3.Mtawakataa hawa
Mtoto kaulilia mtoto kaupata. Berkane shindilia humohumo hakuna kuchomoa
we jamaa tulia basi, 😄[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mnaleta ustaa kwenye nchi ya watu wenye uchu wa kubeba makombe!!
Ni plan gan kocha anaitumia?
Berkane ni timu kubwa na inamakombe hayo,sasa upo ugenin then unajifanya upo home!??
Mnafunguuka then mchezaji akiwa na mpira anapata kitete anajikuta uwanja mzima yuko peke yake tu hadi anapokonywa mpira watu wanafunga.
Kumbukeni 2nd leg mtacheza Amani Stadium ambako stellenbosch mliwafunga moja kwa taaaabu sana.
N.B. Endeleeni kuruhusu magoli zaidi hata medali hamtapewa.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wale jamaa wanavyopress Simba hawawezi kupaki mzee,angalia na watu unaocheza nao[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mnaleta ustaa kwenye nchi ya watu wenye uchu wa kubeba makombe!!
Ni plan gan kocha anaitumia?
Berkane ni timu kubwa na inamakombe hayo,sasa upo ugenin then unajifanya upo home!??
Mnafunguuka then mchezaji akiwa na mpira anapata kitete anajikuta uwanja mzima yuko peke yake tu hadi anapokonywa mpira watu wanafunga.
Kumbukeni 2nd leg mtacheza Amani Stadium ambako stellenbosch mliwafunga moja kwa taaaabu sana.
N.B. Endeleeni kuruhusu magoli zaidi hata medali hamtapewa.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama ulishindwa kupata goli tatu mpaka mkaenda penalt kwa ile timu mbovu ndio mtaweza kupata tatu bila kwa Berkane.Simba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha
Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Poleni wataniHali si nzuri.
Ukiweka moja unaongezwa moja ... upande wetu ni ule ule Kwa zimbweSio kushinda
Hapa tunapigia mahesabu ya soka la kiafrika
Ni eidha tuzuie yabakie hayo hayo mawili au tutafute moja na sisi ili kurahisisha kazi kwenye second leg.
Naam second halfWaache watambe kwa Sasa...
Baadae wote wataingia mitini na wale majasiri watakuja kumwaga pongezi.
Tuishi humu.