chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Simba wanatia aibu.
Acheni hizo watani 🤣🤣🤣
Huyu mwarabu ni wetu tuMmezoea NBC bebwabebwa
Mtakula 4 kama wenzenu walivyokula Kwa staili hiyo hiyo ya kukimbia kimbia.Barkane walaini sana hawa wanavyokimbia kimbia kama kuku mwenye kideri mechi haishi goli zinarudi zote
Matokeo ngapi ngapi etKama mlimfunga kwao kwanini ham hamkupewa kombe?
Kipindi cha pili tuna come back 😎Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Shemeji hayupo leo niniMwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani hawa ukigusa 1 wanakueweka mawiliBarkane walaini sana hawa wanavyokimbia kimbia kama kuku mwenye kideri mechi haishi goli zinarudi zote