Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Sawa gigy money.Humu kuna wapumbavu wengi, ndo maana sishangai wenye akili ni wawili.
hahaha... kibu kidogo ana pambaniaMbona wote kama wanataka kukimbia mechi
Sawa charie chaplinSimba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha
Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Vyovyote vile kombe Simba anachukuaMambo ni mazito kwetu Simba
😀😀Leo unafuraha sio powah.....Hii Timu bila kununua Refa na kuroga hawatoboiMambo ya kuwanunua marefa haya, mnakuja kuaibika kwenye mechi za kimataifa. Leo mtapigwa nje ndani madunduka.
TutawanyooshaHalftime
Thithi 2 Wao 0
Tupo mkuu unasemajewale wapuuzi wa simba akishinda Leo nipigwe ban wako wapi?
Goli 3.... Unadhani rede hii eh, Tactical wamewazidi ujanja kidogo hawa majamaa.....nyuma wako vibaya ila mbele ni WA motoSimba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha
Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Wanajua kucheza gozi sio kwa msaada wa marefaIla timu zetu tuna cha kujifunza wenzetu wepesi sanaa kwenye kusukuma gozi
Tulia weye....hapa ni mwendo wa kubana pumbuz mpaka magoli yapatikaneMnapigwa kavu leo 😹😹😹