Usijifariji kupona kisa jirani yako anaumwa ugonjwa kama wako🤣😂Lazima na nyie mjue maumivu ya kupoteza fainali yakoje.
Sio Kwa back pass za hovyo hovyo anazozipiga Ngoma na chamouTunawwchapa hawa
Hii tabia ya simba kurudisha mipira nyuma itawagharimu sanaRS Berkane VS Simba SC
| Fainali CAF Confederation Cup
| 17 Mei, 2025
Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao
Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani.
Kikosi cha Simba tayari kimewasili Uwanjani
Vikosi na mfumo kwa kila timu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimeshatua Nairobi hapa na mikakati yote kwa ajili ya ushindi imeshakamilika