aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
mechi inaanza saangapi
Kikodi kibovu sana hiki rs berkane 7 vs0 mikia
Mbona siwaelewi Azam?Kifaru cha Kinyarwanda kikichambua mtanange wa FainalView attachment 3337404
Saa nne kamili usiku kwa saa za afrika mashariki mkuumechi inaanza saangapi
Saa saba usikimechi inaanza saangapi
Kwa mujibu wa CAF, AzamTv wako sahihiMbona siwaelewi Azam?
Game ya May 25 itapigwa Amaan?
Saa 3:60 kamilimechi inaanza saangapi
Imeshaanza.mechi inaanza saangapi
Aisee.Kwa mujibu wa CAF, AzamTv wako sahihi
Utopwinyo subiri mnyama uone anavyompiga mwaarabu kwaoHii ndo fainal ya kiboya kabisa Simba inaenda kuzabuliwa nje ndani
Unaakili mingiMshabiki damu damu wa Simba SC, naahidi Simba SC isiposhinda mechi zote 2 na kubeba ubingwa wa CAFCCL 2024/2025 nipigwe ban JF milele.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kinyume chake inawezekanaBerkane 4 Simba 0