financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Kila lakheri watani, uzalendo kwanza👏
Mweeh tema mate chini ....Nyie si mabingwa WA kuloga huu mwaka hatutaki utani tutawanyooosha mpaka msememda huo score board inasoma simba 2 mwarabu 0 huo msosi utapita wapi..
#kula mapema.
Uzalendo upi Huo.... Shabikia waarabu uenjoyKila lakheri watani, uzalendo kwanza👏
Link ya nn
Safi .....ww ni half American half Arab ila unaishi bongoKiukweli nilianza kuishabikia berkane tangu nikiwa na miaka mitatu, naipenda sana hii timu na ninaitakia kila la heri kwenye mechi yao ya leo.
Jaribu fawanews
Naam mkuu na ni full Young dar africansSafi .....ww ni half American half Arab ila unaishi bongo
😍 B wangu..Sweetie
Ameanza ateba😁 kwa spidi ya wale warabu
Una akili sana.Kila lakheri watani, uzalendo kwanza👏
Asante mremboKila lakheri watani, uzalendo kwanza👏