FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Wachezaji wa simba tatizo wabinafsi sana wanapokuwa na mpira.....sijui hawajifunzi kwa wachezaji wa ulaya ....simba mtu anakaa na mpira hadi anaupoteza,nafasi nzuri ya kumpa mwenzie afunge anafosi afunge yeye wakati yupo wrong side.....wakiacha huo ujinga nafasi nyingi zitageuka magoli watapata
 
Back
Top Bottom