FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

1747488079554.jpg
 
Wacha nichaji kimeo kwanzaa just in case Tanesco wakifanya yao nisisimuliwe jinsi simba anavouliwa mwituni leoooo


Pamoja sana Berkane 🧡🧡🧡🧡🧡💪💪💪🕺

Cc Smart911
 
Hizi ni kumbukumbu nzuri sana zinatakiwa kutunzwa katika.maktaba ya klabu. Vizazi na vizazi ambao watakua wapenzi wa Simba sports club vinavyokuja.vishuhudie

Kweli kabisa maana Azam Sports AM tunasikia simulizi bila kuwaona waliofanya maajabu uwanjani wachezaji nyota kwa macho kupitia video. Shukrani kwa teknolojia.
.
 
Back
Top Bottom