FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

🚨#UPDATES:- Taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wa Simba SC pamoja na viongozi kwenye benchi la Ufundi wameahidiwa kiasi Cha Tsh Billion 1 endapo watafanikiwa kutwaa taji la Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Inaelezwa kuwa kiasi hicho kimeahidiwa na maboss wa Simba SC wakiongozwa na Mwekezaji Mohamed Dewji, Wadhamini wa timu hiyo pamoja na viongozi wa kiserikali.

Timu hiyo inatarajiwa kupambana na RS Berkane usiku wa Leo kwenye fainali ya kwanza ambayo itapigwa kwenye uwanja wa Stade Municipal de Berkane huko nchini Morocco.

#Sanuka_Updates
1747464207740.jpg
 
Nenda Mnyama Ukaandike Historia mpya ya soka Tanzania
The world is yours to conquer:ALERTA:
 
TOKA MAKTABA:
Kwa msaada wa intaneti, maajabu ya Simba SC 1993

USMH 2 : 0 SIMBA (CAF 1993) Mechi nzima


View: https://m.youtube.com/watch?v=FfKK_nE14ls

Tujikumbushe stori za wachezaji wa Tanzania walivyokuwa wanacheza kama wanavyotuambia ktk Azam Sports kina Mohamed Mwamweja, Iddi Selemani, Masha Hussein, Deo Mkuki, Godwin Aswile, George Masatu, Edward Chumila, Ramadhani Lenny, Abdul Ramadhani Machine, George Lucas, Rashid Abdallah, Thomas Kipese, Malota Soma n.k chini ya kocha mkuu mzawa Abdallah Kibadeni walipokuwa uwanjani na uwezo wao mkubwa

N.B
USM El Harrach ( USMH) timu ya Algeria.

Hizi ni kumbukumbu nzuri sana zinatakiwa kutunzwa katika.maktaba ya klabu. Vizazi na vizazi ambao watakua wapenzi wa Simba sports club vinavyokuja.vishuhudie
 
Mwanaume Gani anaweza kua na mwanamke mchawi?
Kwa kua wewe ni mwanga una nafasi ya kuolewa na mganga ili umsaidie kwenye shughuli za kuinua kipato chenu cha familia. Mkalie kitu kizito...simba wa mjini ni wa kwenye zoo tu!
 
🚨#UPDATES:- Taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wa Simba SC pamoja na viongozi kwenye benchi la Ufundi wameahidiwa kiasi Cha Tsh Billion 1 endapo watafanikiwa kutwaa taji la Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Inaelezwa kuwa kiasi hicho kimeahidiwa na maboss wa Simba SC wakiongozwa na Mwekezaji Mohamed Dewji, Wadhamini wa timu hiyo pamoja na viongozi wa kiserikali.

Timu hiyo inatarajiwa kupambana na RS Berkane usiku wa Leo kwenye fainali ya kwanza ambayo itapigwa kwenye uwanja wa Stade Municipal de Berkane huko nchini Morocco.

#Sanuka_UpdatesView attachment 3336840
Parefu, Wasitoke tu mchezoni.
 
Back
Top Bottom