Kapuku acha uchawi. Tumia uchawi kupata pesa na sio kuwangia watu wenye pesa.Lolote liwakute 😎
Toa ahadi inayokuhusu mwemyewe boss, mkeo anaweza jitoa bila wewe kumtoa.Simba mkishinda nawapa mke wangu
Namna gani simba ni dhaifu. Mechi ya fainali odds zinapaswa zisipishane sana. Akishinda leo litakuwa jambo la kushangaza na hutokea mara chache sanaYaaani odds 14 kwa Simba 🤣🤣View attachment 3336785
Zilifika 5 Nini mtani ila msiogope Leo amfungwi nyingi😃😃😃😃😃😃Kwa ndoto nilioota jana, 🙃 Mungu Ajaalie iwe kinyume chake 😭
Ngoja niwape buku 5 sijui litatoka hela hiyo 😃😃😃Namna gani simba ni dhaifu. Mechi ya fainali odds zinapaswa zisipishane sana. Akishinda leo litakuwa jambo la kushangaza na hutokea mara chache sana
Naomba siyo mfungwe tu Bali mfungwe na kudhalilishwa.AMRI.Kapuku acha uchawi. Tumia uchawi kupata pesa na sio kuwangia watu wenye pesa.
Hii nimeipenda, Simba ikishinda hakutakuwa na yake makelele kuwa RS Barkane ni timu dhaifu.Namna gani simba ni dhaifu. Mechi ya fainali odds zinapaswa zisipishane sana. Akishinda leo litakuwa jambo la kushangaza na hutokea mara chache sana