🚨#UPDATES:- Taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wa Simba SC pamoja na viongozi kwenye benchi la Ufundi wameahidiwa kiasi Cha Tsh Billion 1 endapo watafanikiwa kutwaa taji la Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Inaelezwa kuwa kiasi hicho kimeahidiwa na maboss wa Simba SC wakiongozwa na Mwekezaji Mohamed Dewji, Wadhamini wa timu hiyo pamoja na viongozi wa kiserikali.
Timu hiyo inatarajiwa kupambana na RS Berkane usiku wa Leo kwenye fainali ya kwanza ambayo itapigwa kwenye uwanja wa Stade Municipal de Berkane huko nchini Morocco.
#Sanuka_Updates
View attachment 3336840