Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Hii hatua tumeitafuta kwa muda mrefu sana.... hatimaye zamu yetu imewadia.Kazi ipo leo
Insha-Allah Mnyama atanguruma huko Morocco
Hii hatua tumeitafuta kwa muda mrefu sana.... hatimaye zamu yetu imewadia.Kazi ipo leo
Si utaona 🤣🤣Upande ni zimbwe,shuti au krosi (Akianza Che Malone) magoli lazima hayaDakika 90 zitatoa jibu
Siyo lazima ukiwa Yanga usiwe na akili,mengine ni uzembe wakoHii ndo fainal ya kiboya kabisa Simba inaenda kuzabuliwa nje ndani
Mech saa 4 huko 🤣🤣Nakula na kushushia....hakikisha umekula mapema mkuu,
mda huo score board inasoma simba 2 mwarabu 0 huo msosi utapita wapi..Mech saa 4 huko 🤣🤣Nakula na kushushia....
Kashachezea 2 kaloa 😹Simba atakunyugwa nje ndani
7 mtani..sijui mauzauza gani haya. Jana ndoto zimefanya niamke na sonono 😒Zilifika 5 Nini mtani ila msiogope Leo amfungwi nyingi😃😃😃😃😃😃
SweetieKashachezea 2 kaloa 😹