FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Fadlu kaingia bila kuwaheshimu Bercane. Alitakiwa kutumia akili kubwa nyuma kuliko kushambulia.

Akirudi kipindi cha pili kama cha kwanza atakuwa zingine mbili.
 
Kwani tumekosea wapi wazee?
IMG_6770.jpeg
 
Simba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha

Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Hawa berkane ni wamoto wewe kaza shingo wakati berkane wanamalizia fainali hapo kwao
 
Timu zetu za kibantu zinajifanya zina ustaarabu sana.Oneni wenzenu walivyo wababe na usanii kwao.Na ninyi hizi timu zikija
 
Kwa huu mpira tunaweza kupata ushindi hapahapa kwao,weka ndani Mutale badala ya Jean Ahoua na weka Mukwala badala ya Ateba
 
Simba ilipoteana dakika za mwanzoni ila hawa vitoga hawana mpira wakutisha

Tunaweza kuwakazia wabaki na huto tugoli twao tuwili afu tuje tuwapige 3 nyumbani.
Dkk za mwanzoni walikuwa na wenge hata utulivu ulikuwa chini mno.
 
Back
Top Bottom