Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,300
- 2,063
Makolooo niliwaambia watagawa utamu Ugenini na nyumbanii,aibu ya Taifa hii.
Hii tunabebaTatizo mna kamdomo yaani ateba,kibu na mpanzu ndio wawape kombe nyie ni sawa na arsenal Netflix.
Hawapati simba anarudishasubirini 2 nyingine za kipindi cha pili
Labdah nje ya Berkane ila Hapa kupata tatu Leo ngumuMtawakataa hawa
Acha na draw tupate goli la ugenini,draw ni mlima mzitoTutatoka droo hii match
Waache watambe kwa Sasa...Hii tunabeba
Makombe ni mengi ujueMipango ya Simba kuchukua kombe IPO palepale