FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Huna ubavu wa kumfunga Berkane goli 3.
Ulishindwa kupata ushindi wa uhakika kwa Stellenbosch ambayo ilifungwa 5 na berkane uje umfunge berkane 3??
Simba anafungwa nje ndani.
Usm Alger alichukua ndoo mbele yako kwa ushindi huo huo usio wa uhakika.

Moral of the story: cheza kwa kuangalia malengo.
 
Kipindi cha pili kimeanza

Sub kwa Simba

Nouma Valentino anaingia

Kibu Denis anatoka
 
Back
Top Bottom