Sogea hapa LUHAGAHuku Igwamanoni hawaandiki matokeo mwenye matokeo anijuzeš¤£š¤£š
Sogea hapa LUHAGAHuku Igwamanoni hawaandiki matokeo mwenye matokeo anijuzeš¤£š¤£š
Au ndo Ile ...ukikwepa nchale....ukiinama nchaleWale jamaa wanavyopress Simba hawawezi kupaki mzee,angalia na watu unaocheza nao
Jambo la hovyo kabisa...unatusumbua mno
Simba akipata hata bao moja tz wanachukua ubingwakosa walilolifanya kuruhusunbao 2nmpk sasa bekene ninyankawaida mnoHakika,mipango ya kuchukua kombe uko palepale
Mwenye taarifa ya OKW BOBAN SUNZU Kalpana Makiwendo Bill Mtoto halali na hela Mshana Jr kinje ketile Tsh Scars Proved na wengine wote wa madunduka, hali zao zikoje huko? Wako tayari kunyanyua vikombe vya chai? Walijiamini hawa šššššššš
Huku Igwamanoni hawaandiki matokeo mwenye matokeo anijuzeš¤£š¤£š