Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Amna kule kuna wa Matumbi kama kina Kefa KayomboZanzibar si kama Uarabuni fulani hivi?
Amna kule kuna wa Matumbi kama kina Kefa KayomboZanzibar si kama Uarabuni fulani hivi?
Hahaha leo ningekua mtu wa kulewa ningekesha Bar sio kwa kufurahi huku
2-0 sio profit ingekuwa 2-1 hapo sawa.Pole wape Berkane mimi hii kitu ni profit kwa upande wangu
😂😂😂😂😂 GSM amehusikaje kaka!?Dakika 90 ni aibu ya mwaka hii 😔
View attachment 3337621
Yaani hauna on target hata moja na umefanya attempt 9?! Aisee GSM anaharibu mpira wa Afrika
Mazingira ya Utopolo na Simba ni tofauti kubwa tu.Afrika fainal ni mechi ya kwanza ya pili sherehe.
Huu ujinga hata yanga waliufanya mechi ya kwanza kupasuka.
Hio game lazima niende uwanjani nikashangilie Simba anavyofungwa mtakae muona anashangilia sana Simba ikifungwa basi ujue huyo ni mimiHata ipigwe Bunju mnapigwa nyingine 2
Nini kifanyike fainali ya pili ili tutoboe?Hii mechi haijaisha....hata Berkane wanafahamu hilo.
RS Berkane anapiga nje ndaniPole wape Berkane mimi hii kitu ni profit kwa upande wangu
Tulia uje upapaswe na huku.Sasa pointi we utazijua Sheikh?
Ndio utofauti wenu na sisiSimba wanashukuru Mungu mpira umeisha wapumue, dakika 90 ngumu hii ndio fainali wenzenu tulishapitia.
Mwarabu anakuja kufunga hesabu Zanzibar na goli nyingine 2.
Cheers
Simba imekosea kufungwa 2-0Mazingira ya Utopolo na Simba ni tofauti kubwa tu.
Huyo chura alikosea kupasuka nyumbani..
Tatu Malogo ahusikeNini kifanyike 2nd leg ili tutoboe?
Kweli Mtoto halali na hela , kashapigwa viwili chap mara moja.Tulia 🦁 roars
Kama unaakili timamu na unafuatilia mambo ulitegemea mechi ya leo simba ishinde?Baller yaan waliofunga wamemfunga nje na wanakuja kumfunga ndani, Simba hamna kitu aibu tupu bora wakacheze huko huko kwa Amani kwa Mkapa wasicheze