Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Thimbwa ishapigwa threesome, dahHawa wasenggg watatuulia watani wetu nyiee... hadi huruma
5imba bila kubebwa hatoboi.Huu sasa ni usenge
Wakimbie hata hapo uwanjaniMy opinion: simba ifanye kila namna isicheze round ya pili ya huu mchezo. Fedheha kubwa hii watani. Endeni na #hatuchezi. Cc karia fanya jambo simba wasilie
Mpo bongo mavini ndio raha yanguwalizoea vya kunyonga haya sasa...😅
Kimbieni tuu, milango si ipo waziKesi ishakuwa ngumu huku
Bora aje awaokoe maana watapigwa KONO LA NYANI.
Zanzibar si kama Uarabuni fulani hivi?Halafu bado mechi ya marudiano mnaenda Zanzibar🤣🤣😂
Mlijua mpo NBC sio,tuliwaambia hamna timu bali mlikutana na wagonjwa wenzenu mkawa mnatambaHuu sasa ni usenge
Za Mama haziliki kizembezembe...Mama hadaiwi! Leo anaupiga mwingi sana😆😆
Umeona eeeh, washukuru VAR imewabeba.Timu inacheza zaidi mpira mdomoni kuliko uwanjani