Bado MbiliBado goli tatu
Bado badoo nasemaje badoo😆😅Kmmk hii fainali tushapoteza
Unanielewa sasa mkuuSio kushinda
Hapa tunapigia mahesabu ya soka la kiafrika
Ni eidha tuzuie yabakie hayo hayo mawili au tutafute moja na sisi ili kurahisisha kazi kwenye second leg.
LOLOTE LIWAKUTEMamaee 3
Timu inacheza zaidi mpira mdomoni kuliko uwanjaniWanathiiimba😁
Namm nashangaahahaha... kibu kidogo ana pambania