Hakuna siku uliongea point kuhusu mpira.We unapaswa uwe cheka tu
We tulia upapaswe mpapaso sumu.
Hakuna siku uliongea point kuhusu mpira.We unapaswa uwe cheka tu
RS Berkane anakuja kupiga kwenye mshono hapo ZanzibarDakika hizi za lala salama tayari Berkane wameanza kuyaona yale yatayojiri kwenye second leg
Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?
Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.
Nimesema Simba ni basi tu sikio la kufa.Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?
Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.
Waje ndo muone penaltsDakika 90 ni aibu ya mwaka hii 😔
View attachment 3337621
Yaani hauna on target hata moja na umefanya attempt 9?! Aisee GSM anaharibu mpira wa Afrika
Jamaaa wanagusa achia twende kwao.
Ila Simba nao wanapoteza mipira kirahisi sana
Bado 4Simba wakomae tu kwenye hizi 8 wasiruhusu goli
Sisi ndio tunaomaliza mechi awei
Nimefurahi sana leo aisee unatumia bia gani?Dakika hizi za lala salama tayari Berkane wameanza kuyaona yale yatayojiri kwenye second leg
Aongeze hata sita ziwe nane
[emoji23][emoji23][emoji23]Dakika 8 zote refariii tangu saa nne vichanga havijanyonya ujueee[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji1787][emoji1787]
Una kichanga mamaDakika 8 zote refariii tangu saa nne vichanga havijanyonya ujueee[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji1787][emoji1787]
Kwahii kasi simba wanapigwa nje ndani mbona!!Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?
Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.
Yaniii refa hebu amalize nikanyonyesheUna kichanga mama
Hadhi inawezekana Azizi Ki akawa juu kuliko wachezaji wa Simba.Uko serious au goli 2 zimekufanya kichaa? Nyie mna mchezaji gani wa hadhi ya Aziz Ki pale Simba? Hapo sijamuongelea Diarra maana angekuwa yeye golini ubao ungesoma 0-0.
Hawa mabeki karatasi wenu kila dakika jamaa wanamnyanyasa Camara sisi tuna kisiki Baka.
Kuwa serious.
Mama Samia atakuja kuwakabidhi kombe RSB uwanja wa Tanzania.Dakika hizi za lala salama tayari Berkane wameanza kuyaona yale yatayojiri kwenye second leg
Hawa berkane wapo siriaz na boli, Simba wanambwanda tu.Bado 4