King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Na wao watakuwa wamesimama?Mechi ikichezwa kwa Mkapa hawa wanapigika vizuri sana
Na wao watakuwa wamesimama?Mechi ikichezwa kwa Mkapa hawa wanapigika vizuri sana
Wewe ndio usijifananishe na Berkane.Usijifananishe wewe na USMA.
USMA alikua na watu kijana.
Wewe una watu gani wa kutikisa back line ya Berkane!?
Acha utani.
Tupo hapa kitakukuta kama cha CS Constantine.
Hata link hujaiona ukapate habari huo uvivu wenu wabongo ndo unafanya mnaibiwa kodi zenu mchana kweupeeeeeee na wala hamjali nko bize na mpira tuNini hiki, mbona unaweka habari bila maelezo.
Ah jirani hawa thimba wanazingua leo nilikuwa nimejipanga na kibamia changu kishenyente mbususu hawa nao wana mbwela.Jirani usije ukapasua vyombo shauri yako😀
Ah jirani hawa thimba wanazingua leo nilikuwa nimejipanga na kibamia changu kishenyente mbususu hawa nao wana mbwela.
Vipi lakini wikend inaendaje jirani?
Thimba wanazingua bwana wanapoteza mipira kwenye nusu yao hovyo hovyo. Kocha nae hafanyi substitutions basi shida tuu. Kweli leo nikulala na mbupuz zetu.Leo mnakuwa single maza, kwa show wanayowapelekea…!! 😹😹
Hii ndio mechi ambayo watashangaa wameshinda lakini tunaofurahi ni sisiBerkane wanashtuka taratibu kuhusu hiz goal zao kuwa hazitoshi
Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?Hawa jamaa ni wa kawaida sana.Ni basi tu Simba sikio la kufa
Mimi nina uwezo wa kujifananisha na Berkane kwa kikosi nilicho nacho.Wewe ndio usijifananishe na Berkane.
Usma alikuwa anapambania kutocheza play off
Berkane ni bingwa.
Goli 2 kwetu ni advantage
Kabisa hata huyu commentator wa bein sports amesema hivyo hivyo.Huyu jamaa aliyejiangusha alipaswa apewe kadi.