matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kombe tunalibeba hili wakuu.
mechi ya marudiano karia ampange tatu malogoNa refa ni wao
Labda refa awe huyuKombe tunalibeba hili wakuu.
Unavyosema hata tungekuwa sisi Yanga nimecheka.Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?
Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.
Jamaaa wanagusa achia twende kwao.Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?
Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.
Wewe ndio usijifananishe na Berkane.
Usma alikuwa anapambania kutocheza play off
Berkane ni bingwa.
Goli 2 kwetu ni advantage
Sasa 5imba inayopigwa kama Ngoma huko UMISETA mashindano ya shirikisho ndo ilinganishe na Yanga ya CAFCLUnavyosema hata tungekuwa sisi Yanga nimecheka.
Kwamba nyie ndio mna timu nzuri kutuzidi sisi?
HakikaUsm alger alienda kumfunga bingwa wa champions league Al ahly kwenye super cup
We unapaswa uwe cheka tuMimi nina uwezo wa kujifananisha na Berkane kwa kikosi nilicho nacho.
Wewe una kikosi gani Cha kuifungua back line ya Berkane!?
Si bora USMA alikua na watu?
Tupo hapa tutakumbushana.