FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Kuna mchambuzi alisema kuwa Simba anapigwa nje ndani watu wakasema eti sio mzalendo 😃 haya sasa kinachoendelea ni heri angepewa mechi Tatu Malogo 😃
images - 2025-05-17T221242.453.jpeg
 
Dah... kumbe wamefunga jumla ya mabao 18-0 katika mechi zao zote za nyumbani za mashindano! Si timu ya kawaida hiii ... hata Raja, Wydad, Far Rabat na wengine hawakufaniniwa kufunga hata kagoli kamoja kwenye uwanja huo!

Simba ina nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuwafunga goli nyumbani kwao msimu huu.
Nyoooooooo mshanyolewa vuzi huko
 
Unavyosema hata tungekuwa sisi Yanga nimecheka.

Kwamba nyie ndio mna timu nzuri kutuzidi sisi?
Uko serious au goli 2 zimekufanya kichaa? Nyie mna mchezaji gani wa hadhi ya Aziz Ki pale Simba? Hapo sijamuongelea Diarra maana angekuwa yeye golini ubao ungesoma 0-0.

Hawa mabeki karatasi wenu kila dakika jamaa wanamnyanyasa Camara sisi tuna kisiki Baka.

Kuwa serious.
 
Mungu hatokei msimbaziiiiii🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom