Ngoja tusubiri. Marufuku kukata tamaa.Biashara imeshaisha, 25 ni kukamilisha ratiba tu.
Ngoma inaishaYaniii refa hebu amalize nikanyonyeshe
Sawa, mpiraNyoooooooo mshanyolewa vuzi huko
Kanyonyeshe sasa....na yule mkubwa piaDakika 8 zote refariii tangu saa nne vichanga havijanyonya ujueee🐒🐒🐒🐒🐒🤣🤣
Penalty zipi mkuu kwani Refa anatoka Tatu Malogo?!Waje ndo muone penalts
Bado dk 90.Hawa berkane wapo siriaz na boli, Simba wanambwanda tu.
Pole kolo🤣😂😭Yes njooni lupaso kubabake
Mipango ya kombe IPO palepale kwa Amani hatoki mtuMakolooo niliwaambia watagawa utamu Ugenini na nyumbanii,aibu ya Taifa hii.