FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Aisee kiukweli leo tumechoma mafuta ya Ndege yetu bure 😃
Screenshot_20250518_000323_FotMob.jpg

Timu imecheza mpira wa kijinga kupita maelezo, yaani attempt 9 halafu on target ni 0 Sifuri Mwarabu ambaye amekupasua goli mbili yeye ana attempt 14 halafu on target anazo 6 😃
Ni wazi kabsa kuwa GSM anaharibu mpira wa Afrika
 
Wenzetu wamewekeza kwenye soccer , Ball Ina pigwa tuwashukuru watu wa VAR maana kulikua na Dhahama.
 
Najua mtani atarudisha hizi chache sanaa kwao.
Chache? Nje Ndani hio akija hapa anapelekewa mtu moto mpaka akili imkae sawa yaan hapo wakirudi wanaenda kwanza kulikusanya Jopo la Waganga wote Nchini
 
Back
Top Bottom