Ni kujiandaa kuvaa medali za shaba.Nini kifanyike fainali ya pili ili tutoboe?
Mechi ipigwe Bunju 😀 😅 😅Simba acheni kuwasumbua watu na uwanja wa Mkapa, ngoma imeshaisha hii
CAF wanalalamika mnawasumbua sana kuhusu uwanja, mmeshafungwa na jamaa mmewaona hamtoboi mtulie sasa.
Yani we kama unafurahi jua haupo peke yakoRS Berkane anapiga nje ndani
Anaenda kupiga nyingine 2 huko Zanzibar
Mimi naamini Simba bado nafasi wanayoNi kujiandaa kuvaa medali za shaba.
Endelea kujichezea kwapaNdugu Watanzania, hili Kombe linabaki Msimbazi Street.
Kujifariji tu, na huku lazima apate goliPole wape Berkane mimi hii kitu ni profit kwa upande wangu
Kwanini ufanyike uhuni wa kubadili uwanja kama unaiaminia Berkane? Ngoma itapigwa Lupaso.Kila mtu kwake shekhe .Imeisha hiyo kwa hii Berkane inavyoonekana usifikirie unacho fikiria.
Kwa ulivyotazama mpira alitakiwa kumpa nani?Ahoua mchoyo sana
Naambiwa mechi ijayo atachezesha huyu..Je ni kweli?
Muandike barua kwa umma kugomea mechi hadi refa awe mtanzania hasa Tatu Malogo au yule mwingine awapatie penati.Nini kifanyike fainali ya pili ili tutoboe?
Hujui mpiraAisee kiukweli leo tumechoma mafuta ya Ndege yetu bure 😃
View attachment 3337630
Timu imecheza mpira wa kijinga kupita maelezo, yaani attempt 9 halafu on target ni 0 Sifuri Mwarabu ambaye amekupasua goli mbili yeye ana attempt 14 halafu on target anazo 6 😃
Ni wazi kabsa kuwa GSM anaharibu mpira wa Afrika
Nunua tiketi tukuoneshe kina Lamine Yamal walivyo wengi msimbaziTulia uje upapaswe na huku.
Kifo chako wewe kitakua kama cha CS Constantine
Mashabiki wa Simba wako na delusions sana aisee.Madunduka uchawi hauvuki bahari, tukutane Zanzibar... kwenye marashi ya Karafuu...
Mashabiki wa Simba wanaoshangalia ndo wale Rage aliwaita mbumbumbuYani we kama unafurahi jua haupo peke yako
Matokeo haya yanaleta furaha pande zote mbili kwa waliofungwa (sisi Simba) na wale haters (nyinyi) wanaopenda kuona Simba ikifungwa.
Anaenda kukandwa tena huko akishamaliza kukandwa wapoteane maana walipoambiwa swala la uwanja Zanzibar walishatolewa mchezoni nimecheka sana nilisikia anasema ati Simba anabeba nini kombe au kombe la aibu?Tukutane Kwa Amaan Al habibView attachment 3337639
Siku nikikukamata utajutaSimba acheni kusumbua watu na uwanja wa Mkapa, ngoma imeshaisha hii
CAF wanalalamika mnawasumbua sana kuhusu uwanja, mmeshafungwa na jamaa mmewaona hamtoboi mtulie sasa.