FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Ndugu zangu hapa bongo lazima muwe na mpango mkakati na yule Camara naona kabisa yy ndiye atakaye kuwa anaanzisha mashambulizi na jamaa anajua kuziweka kwenye njia, yaani utazani sio kiungo mkabaji.Msipokuwa makini Counter hawa jamaa watakuwa ni hatari.
 
Duh hii NDO Tz
Mchana mpira
Asubuh mpira
Usku mpira
Hadi mida ya wanga mada ni mpira

Uskute hata wachaw wanaenda kuwanga na smartphone zao wanaperuz na kureply na mada huko vilingeni kwao NDO hvohvo mpira mpaka uchawi unakua Hauna faida kama wazungu vile
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila ishu zinazohusu uchumi wao...ubaadae wao haaaa....hawana muda
 
Simba acheni kusumbua watu na uwanja wa Mkapa, ngoma imeshaisha hii

CAF wanalalamika mnawasumbua sana kuhusu uwanja, mmeshafungwa na jamaa mmewaona hamtoboi mtulie sasa.
Utoto + Utopolo
 
Tunge enda na refa wetu
IMG-20250517-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom