Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Berkane ndani ya miaka 7 wameingia Fainal mara tano hii rekodi sio mchezo na mwaka jana Zamaleki walibeba kombe kwa away goal nadhani hii itatokea na kipindi hiki..
Dah nimesikitika sana😀Haya wameshinda njaa naona umeridhika sasa
Poleni sana jirani mtani, ulibana vyombo hadi nikahofia visije pasuka😀Ah jirani hawa thimba wanazingua leo nilikuwa nimejipanga na kibamia changu kishenyente mbususu hawa nao wana mbwela.
Vipi lakini wikend inaendaje jirani?
Duh kumbe wana record nzuri hivyo🤔Berkane ndani ya miaka 7 wameingia Fainal mara tano hii rekodi sio mchezo na mwaka jana Zamaleki walibeba kombe kwa away goal nadhani hii itatokea na kipindi hiki..
Wagense hawa simba wametunyima burudani jana. Kibamia kimelala kikavuuuu.Poleni sana jirani mtani, ulibana vyombo hadi nikahofia visije pasuka😀
Mpaka wanafika fainal hawajafungwa mechi hata moja na pia hawajafungwa kwao watu hawaambiwi ukweli wanadhani ni kama timu zetu wanabaki kudanganyana tu mwaka jana Zamaleki alichukua ubingwa kwa goli la away sio kwamba walifungwa.Duh kumbe wana record nzuri hivyo🤔
Aah mmekoma na nyie watani huwa mnasifa sana, ila si kuna marudiano mjitahidi sasa muwapige nyingii, karibu chai tayari muda mrefu jirani😀Wagense hawa simba wametunyima burudani jana. Kibamia kimelala kikavuuuu.
Habari ya usubuhi...chai tayari jirani nije nidoe
Heee kumbe, sikujua hii record yao, vipi Simba wakijitahidi marudiano hawawezi kuwafunga nyingi ?Mpaka wanafika fainal hawajafungwa mechi hata moja na pia hawajafungwa kwao watu hawaambiwi ukweli wanadhani ni kama timu zetu wanabaki kudanganyana tu mwaka jana Zamaleki alichukua ubingwa kwa goli la away sio kwamba walifungwa.
Realmadrid alikua dhidi ya Barcelona unaijua Barca vizuri!?Ndiyo Mpira ulivyo. Real Madrid walitangulia 2 lakini game ikaisha 3-4. Mpira siyo ramli.
Wanaye Mutale Mukwala na kitambi Ateba.Realmadrid alikua dhidi ya Barcelona unaijua Barca vizuri!?
Wewe una watu kama Barcelona!?
Hao ambao wamefanyiwa marking wakashindwa kutembea!?Wanaye Mutale Mukwala na kitambi Ateba.
Ah mie wala sina cha utani wala nini mie nafhrahi tuu hizi kurwa na doto zikishinda mbususu kupatikana inakuwa rahisi.Aah mmekoma na nyie watani huwa mnasifa sana, ila si kuna marudiano mjitahidi sasa muwapige nyingii, karibu chai tayari muda mrefu jirani😀
Yanga tuko vizuri, hatutawaangusha, karibu jirani nakusubiri balazani😀Ah mie wala sina cha utani wala nini mie nafhrahi tuu hizi kurwa na doto zikishinda mbususu kupatikana inakuwa rahisi.
Haya nasubiria nyuma mwiko nao leo watusaidie tupate mbususu kwa kutinga final.
Nakuja jirani nipate chai maana leo moja haikai mbili haikai
wa nyumbani asioupenda 😁😁
wataishia kupiga miayo tu ,huko mkono wa karia haufiki 🤣🤣🤣Aah mmekoma na nyie watani huwa mnasifa sana, ila si kuna marudiano mjitahidi sasa muwapige nyingii, karibu chai tayari muda mrefu jirani😀