FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hao hao ndio na sisi tunawataka ili tukiwapiga msilete visingizio kuwa ni wabovu.

Mlianza hivi hivi kwa Al Masry mkawapaisha lakini mwisho wa siku mkawakimbia.
Al masry mimi nilisema game mngeimalizia kule kwao. Maana walionekana kwa uwazi. Hata statistics ukiangalia, mliwazidi kwa kila kitu.

Tuje kwa hawa berkane. Unadhani wamefunga goli za kubahatisha?

Tar 25 sio mbali tutarudi hapa
 
Kuna mtu aliahidi kuwa kama Simba tutachukua Kombe la CAF basi twende tukalivunje gholofa lake:
Mi sijamtaja jina kabisa:
Je tumsamehe au tupeleke Katapila (CAT) ?

Ila najua watu wa Simba wana Busara nyingi sana:
Nasikiliza maoni yenu:
Mimi namiliki Greda la CC au Hourse Power 500:
 
Kitu nilichokubali kwa simba nikudeal na VAR refereee asee mpaka nikahisi hizi VAR zinatengenezwa kiwandani kwa MO?? 😂😂😃😃 pale Mo visado foma!! Dah hili kwakweli mmefanikiwa...
 
My dear nakuona ukidondosha machozi ya damu 😁😁😁 pole mtani wangu

Unakaribishwa Yanga at any time 😉
 
Gholofa livunjwe au lisivunjwe ?
Tunataka kuwakomesha hawa wapuuzi wasio na uzalendo kwenye nchi yao:
Hawa wanaopata pesa za bure za kubeti, na kujenga magholofa bila jasho:
 
Back
Top Bottom