FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Tatizo mtani siyo kushinda.
Mtashinda ngapi?
Mtaweza kubana pale nyuma au mtamruhusu mwarabu awaguse?
Angalia goli la pili la leo, walinzi watano wa Simba dhidi ya mshambuliaji mmoja yupo katikati yao kawageuza.
Hata 2 zinawezekana. Hayo ni makosa lakini yanaweza yasijirudie kama 2nd half
 
😂😂😂😂 hivi jf huwa hakuna mahali unabonyeza ukitaka kucheka kwa sauti wajameni?. Anajua tafadhali ninacho kicheko kimojaaaa😃😃
 
Baada ya kufunga 1 nini kiliwatokea mpaka mechi inaisha ?

Pia kumbuka kuwa Simba kwa namna yoyote ina kazi ya kufunga duka kwa namna yoyote asifungwe na Berkane timu ifanye ifanyavyo isiruhusu goli.
Tutajitahidi haturaruhusu goli
 
Odds Simba alikuwa ana 14 Berkane 1.2 ni mtu mjinga pekee angefikiria kinyume na kilicho tokea mpaka sasa.
Odds zina panda na kushuka ndio maana baada ya wao kubahatisha goli 2 odds za magoli 2.5 over ilikuwa ni 1.04

Lakini kipindi cha pili kilipoanza mpaka dakika ya 70 odds zikapanda hadi 1.80 kuashiria mazingira ya hilo goli moja kupatikana ni magumu.

Kwa hiyo usipagawishwe sana na odds, we subiria second leg uone odds zitakuwa ngapi kwa RS Berkane.
 
Jaman husu kocha msaidiz anaenda na timu kufanya nn yupo kazubaa kama mabeki zake
😂😂Mmeanza kutafuta watu bila sababu.... Sasa kocha msaidizi ameingiaje kufungwa kwa timu?. Mbona usimlaum Camara kwa boko lake. Nyie mbumbu huwa hamjitambui. Na tunasema hivi mechi inahamia kwa mkapa mtokonyolewe zingine 2 aloo. Sema mpanzu anajua sana zile chenge na mabio yake 😃
 
😂😂😂😂 hivi jf huwa hakuna mahali unabonyeza ukitaka kucheka kwa sauti wajameni?. Anajua tafadhali ninacho kicheko kimojaaaa😃😃
Ukijibana kicheko kitatokea kwenye jicho la chini
 
Back
Top Bottom