FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Mpaka wanafika fainal hawajafungwa mechi hata moja na pia hawajafungwa kwao watu hawaambiwi ukweli wanadhani ni kama timu zetu wanabaki kudanganyana tu mwaka jana Zamaleki alichukua ubingwa kwa goli la away sio kwamba walifungwa.
Wamefungwa nusu fainali ya pili na constantine
 
Hii Tunabeba
Wakija Tanzania Tunamaliza Game.
kipindi Cha Kwanza Tunarudisha Goals 2
Mjinga wa mwisho wewe, umebahatisha kwa timu zisizo na majina Maquiz & Stella sasa umekutana na timu inacheza mpira wa ulaya. Pambaf sana.
 
šŸ˜€ ila imeniuma kama mzalendo, i hope marudiano watawafunga nyingi
Tarajia kufungwa tena mama!..
FB_IMG_17475424980449742.jpg
 
Simba wanaweza kushinda ila hao jamaa watapata goli pia hili kombe Timu zinachukua kwa aggregate ya magoli..
Simba akishinda ntashangaa sana.

Japo mpira unadunda hilarious wale jamaa wanavyocheza unajua kabisa hawachezi mpira kwa kubahatisha.

Wanaudunda kweli.
 
Back
Top Bottom