FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Hivi unadhani Nabi amerudi kwao morroco.

Vile humuoni pale benchi basi unadhani kazi zote ni Kaze?
Huyu Ni Kaze Acha Ubishi Hata Namna Timu Inavyocheza Ni Tofauti Na Akiwepo Nabi Katika Mechi Zote Mbili Alizokaa Kaze Peke Yake Kwenye Benchi ...Kama Unabisha Subiri Mechi Ijayo Nabi Atakapokuwa Kwenye Benchi Utaona.
 
Amekosa confidence tangu mumtimue
Huyu Jamaa Uwezo Mdogo Wala Hatukukosea Kumtimua...Maana Baada Ya Kuondoka Yeye Wachezaji Ni Wale Wale Ambao Aliwakuta Nabi Na Timu Ilianza Kucheza Mpira Wa Kuvutia Kabisa Japo Ndo Ilikuwa Tushachelewa Tena.

Ni Nabi Ndiye Aliyempa Namba Ya Kudumu Dickson Job Kikosi Cha Kwanza Mpaka Saiv Anaitwa National Team Jamaa Wakati Kwa Kaze Huyu Dickson Job Alikuwa Anamuangalia Tu Na Akambadili Feisal Nafasi Uwanjani Akampeleka Namba 10 Na Akafit Vizuri Kabisa Vile Vile Pia Kwa Farid Musa Mechi Kadhaa Nyuma Amefit Nafasi Ya Beki Ya Kushoto Amekuwa Bora Tofauti Na Akicheza Mbele....Nabi Ni Kocha Eeeeh!
 
.
Screenshot_20201103-220509.jpg
 
Back
Top Bottom