FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Leo Yanga wamezingua kinoma wamecheza chini ya kiwango sana.
Ndiyo mpira ulivyo. Ruvu Shooting nao wanapenda kubaki ligi kuu. Hivyo hawakuwa na namna, isipokuwa kupambana mwanzo mwisho.

Hata kuipeleka timu Kigoma, ililenga kuwatoa Yanga mchezoni! Kutokana na aina yenyewe ya uwanja, na pia alifungwa na simba kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.
 
Kwanza ameanza kukosea kupanga kikosi

Pili rovu shooting walikuwa wana cheza Mpira wa kuzuia saana yaani wote walikuwa wana jazana nyuma saana kwa timu kama hiyo utakiwi kucheza mipira ya juu alifikiri akicheza mipira ya juu wachezaji wa ruvu ni wafupi kiasi icho ?

Alichokuwa Na takiwa kucheza ni kuwapa Game possition yaani kuwapandisha alafu ana fanya mashambulizi ya kustukiza
Au kingine ni ku shoot mipira ya out Na lango kwa kutegemea namba 8 Na 6

Izi ni kama mbinu fulani tu fupi
Halafu simba wanahangaika kwenda Real Madrid kutafuta makocha wa gharama kubwa! Huku wakiwaacha Makocha Wazalendo kama hawa!

Cheki alivyo uchambua mchezo kitaalamu! Pablo mwenyewe hatii mguu hapa.
 
Hamjakamiwa bhana, ndio uwezo wenu huo.
Scars
Ghazwat
OKW BOBAN SUNZU
Mpira umenajisiwa

Kabla ya mpira watu wanakuja na matokeo yao mifukoni

Timu pinzani inacheza kukamlilisha ratiba tu kinachofuata hapo ni maamuzi yaliyoamuliwa na wakubwa

Na hii ni kama intro tu kwani wange authorize kile kimkataba cha udhamini ndio ingekuwa worst kabisa
 
Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena. Tujipange kwa mechi ijayo. Naamini itakuwa ni kwa Mkapa, na mwenye timu yake atakuwepo.

Hivyo tutaendelea kutetema kama ilivyo desturi yetu. Hata leo tumegongesha sana miamba! Hata uwanja nao haukuwa rafiki kivile.
Sure! We will be back stronger than ever
 
Mpira umenajisiwa

Kabla ya mpira watu wanakuja na matokeo yao mifukoni

Timu pinzani inacheza kukamlilisha ratiba tu kinachofuata hapo ni maamuzi yaliyoamuliwa na wakubwa

Na hii ni kama intro tu kwani wange authorize kile kimkataba cha udhamini ndio ingekuwa worst kabisa
Sure! Kwasasa tungekuwa tumeshachukua ligi mapema kabisa
 
Mkuu kwani kipi ambacho kilikuwa kinakuweka katika kitendawili mpaka ukawa na mawazo mawili ya kufikiria Uto ni wakawaida au sio?

Zile kelele za Mayele ndio zilikumeza ukawa unaifikiria Yanga kwa ukubwa kiasi cha kuiona sio ya kawaida?

Wakati we unashikilia kauli mbiu ya play fair mwenzako anaitafsiri kuwa pay fair
 
Kabla ya mechi hii Yanga alikuwa amemzidi simba kwa points 13! (Yanga 55) na simba ana 42! Huku wakiwa wana michezo sawa.

Baada ya mechi hii Yanga atamzidi simba kwa points 14 (56), simba points 42! na pia Yanga atamzidi simba mchezo 1.
Hizo 42 za Simba zilikua kabla ya mechi ya Jana. Mpaka Sasa tofauti ni point 13, Yanga 56-Simba 43.
 
Kwanza ameanza kukosea kupanga kikosi

Pili rovu shooting walikuwa wana cheza Mpira wa kuzuia saana yaani wote walikuwa wana jazana nyuma saana kwa timu kama hiyo utakiwi kucheza mipira ya juu alifikiri akicheza mipira ya juu wachezaji wa ruvu ni wafupi kiasi icho ?

Alichokuwa Na takiwa kucheza ni kuwapa Game possition yaani kuwapandisha alafu ana fanya mashambulizi ya kustukiza
Au kingine ni ku shoot mipira ya out Na lango kwa kutegemea namba 8 Na 6

Izi ni kama mbinu fulani tu fupi
Mayele kakosa magoli manne mbili zimegonga post mbili kipa kadaka ulitaka Kaze afanyeje, huu ni mpira saa zingine msiwe mna laumu hata opponents wanataka ushindi pia
 
Mimi sikuangalia mpira nilikuwa nacheza draft hapa kijiweni sasa kuna mdau wa yanga katoka banda umiza akiwa anasema kiukweli msimu huu yanga ameandaliwa kuchukua ubingwa bila kufungwa at any cost

Mimi sikumuelewa ila hapa ndio nimekuja kuelewa kwanini alisema vile
Wewe mdogo wake popoma tusha kuzoea
 
Mkuu kwani kipi ambacho kilikuwa kinakuweka katika kitendawili mpaka ukawa na mawazo mawili ya kufikiria Uto ni wakawaida au sio?

Zile kelele za Mayele ndio zilikumeza ukawa unaifikiria Yanga kwa ukubwa kiasi cha kuiona sio ya kawaida?

Wakati we unashikilia kauli mbiu ya play fair mwenzako anaitafsiri kuwa pay fair
Unaitfta furaha kwa nguvu , subiri ucheze na pamba
 
Back
Top Bottom