wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hivi unadhani Nabi amerudi kwao morroco.We Fuatilia Game Zote Ambazo Kaze Amekaa Peke Yake Kwenye Benchi Kama Kocha Mkuu Ni Mechi Moja Tu Ndo Ameshinda Zilizobaki Zote Katoa Suluhu.
Leo hajacheza?Kwani hujui ndiyo anaongoza kwa magoli mpaka sasa
Emoji za point tatu muhimu
Huyu Ni Kaze Acha Ubishi Hata Namna Timu Inavyocheza Ni Tofauti Na Akiwepo Nabi Katika Mechi Zote Mbili Alizokaa Kaze Peke Yake Kwenye Benchi ...Kama Unabisha Subiri Mechi Ijayo Nabi Atakapokuwa Kwenye Benchi Utaona.Hivi unadhani Nabi amerudi kwao morroco.
Vile humuoni pale benchi basi unadhani kazi zote ni Kaze?
Amekosa confidence tangu mumtimueKaze Hawazi Hivyo Utaona Mambo Atakayofanya, Naomba Sana Tushinde Lakini Kaze Mi Simuelewi.
Huyu Jamaa Uwezo Mdogo Wala Hatukukosea Kumtimua...Maana Baada Ya Kuondoka Yeye Wachezaji Ni Wale Wale Ambao Aliwakuta Nabi Na Timu Ilianza Kucheza Mpira Wa Kuvutia Kabisa Japo Ndo Ilikuwa Tushachelewa Tena.Amekosa confidence tangu mumtimue
Kabisa. Katika mechi 8 zilizosalia tunaweza kushinda 1 kupoteza 1 na 6 sare.Huyu Kaze Mfano Ingekuwa Nabi Kapata Matatizo Ya Kiafya Hatoweza Kuendelea Mpaka Mwisho Wa Ligi Wallah Kuna Game Tunafungwa Kabisaa..
Kwahio sisi ndo tumezuia msishinde mechi zenu?Huo ndio ukweli, kwani hatujui kitengo maalum yanga kiliundwa mapema kabla ligi kuanza ni maalum kwa kuhonga na uchawi
Kabisa aisee...huenda uchovu pia umechangia hili.Simba wamekata tamaa mapema wenyewe. Hizi game mbili wangeshinda tungekuwa tunaongea mengine.
Ni kama la Kagere lililo kataliwa kabla ya la Chirwa.Goli la Chirwa ilikuwaje jana?
Wote Simba na Yanga za kawaida sana safari hii
Mpira wenu wa majuzi ulikuwa ni bahati nasibu kweli.......