FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

Ila team zote mbili zinakosa kufunga chances za wazi wazi kabisa.Ila lazima mtu alie.Hatutaki matuta leo.
 
Senegal wameonyesha kiwango kizuri katika kipindi cha kwanza nafikiri umahiri wa kipa wa Morocco unawafanya washindwe kufunga ila nafasi zinapatikana!.

ngoja tuone kipindi cha pili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…