FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Simba wakatili sana, pamoja na kudoda kwa siku ya mwananchi wakapigilia na msumali wa miquissone mdororo ukawa plus plus [emoji23]
Huyu mmakonde mpira wa Kiarabu umemshinda?......karibu tena msimbazi miquissone
 
Klabu imetoka kucheza fainal lakini mashabiki kuingia uwanjani kushabikia timu yao mpaka kuwa waboost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…