FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Wanathimbaaaaaaa 🀣🀣🀣
 
Al ahly wanacheza soka Tamu utadhani wanafundishwa na Gamondi [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Daa, Inonga kafanya kosa kweli pale.
 
🀣🀣🀣😜😜😜😜😜 mbumbu fc pyeeeew
 
Jamaa wanabaki nyuma wengi, hii inatoa ugumu kufungwa na wepesi wa wao kutushtykiza. Simba wajitahidi hadi halftime tuwe tumesawazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…