Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al ahly kapaki bhasi Anauoga sanaAhly leo anakufa nyingi yupo unga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Modestee utadhani wa Sudan kusini. Mweeeeh.Hawa waarabu au wamasai?
Mbona warefu sana yani mipira ya juu karibia 80% yote wanaicheza wao tu
Mmeanza eeh 🤣🤣🤣Hawa waarabu au wamasai?
Mbona warefu sana yani mipira ya juu karibia 80% yote wanaicheza wao tu
Ndivyo alivyofundishwa na Benchika🤣Tobaaaaaah wee, huko juu kuna nn? Mbona kupaishaa tyuuh, aaaah