FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Ushabiki huu Siuwezi kwakwli 🤣🤣
Screenshot_20240329_213528_Facebook.jpg
 
Hawa waarabu au wamasai?

Mbona warefu sana yani mipira ya juu karibia 80% yote wanaicheza wao tu
 
Baadhi ya incident kufungwa sometimes tujilaumu wenyewe
 
Tobaaaaaah wee, huko juu kuna nn? Mbona kupaishaa tyuuh, aaaah
 
Back
Top Bottom