FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kanute!🤙
Jamaa hua nnamuelewa sana sema rafu
 
Tobaaaaaaaaa!!! Nn tenaaa hikiiiiii? Mbona hii sio kawaida, [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Awa waarabu ni warefu mipira ya juu hatuwawezi
 
Huyu kipa wa mwarabu ni noma.
 
Yule shabiki mfukua(mfukia) vitu langoni aende kufukua/kufukia na leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…