DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwa i wewe ni mwarabu Mkuu 🤣🤣Msitupangie namna ya kucheza
Amepiga kizembe sana. Bora yule jamaa wa cameroon aingie huwa anakitu siku hizi.Nimekwambia Saidou wa kuangalia chini hawezi funga
Mjini akili sio minguvu
Sawa ndio tuko kulipambania hiloFungeni magoli acheni mambo yenu, hamjui tumeshawabetia huku🤣
Aaaah weee Madame acha bas!Kama Simba wakishinda, mje mnibake hakyamungu
Piga haooooooooooooo!!!!!
Tulia kwanza goli lipo hapaWanauliza yale mapipa wanawekaga nini? Tumetoa hadi kafara alafu tunaishia kupigwa kweli?
Lilikua la waziBabuu wa Burundiii ni lijingaaaa na falaaaa, linaboa hili lizee hata sipendi kulionaa.
Kama Simba wakishinda, mje mnibake hakyamungu
Piga haooooooooooooo!!!!!
Tena na maziwa yenye gahwa juuNashauri half time friends zetu waongezwe tende....
Hakika mkuuSIMBA WANAONYESHA UKOMAVU SANA ILA IMALIZIAJI NI ZERO.