FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Hii takataka (Ntibazonkiza) kama itaendelea kuwepo hapo msimbazi msimu unaokuja, nitaamini hatupo serious na mpira.
 
baada ya mechi stori zitakuwa
tungepata ile ya saido, ya kanoute daaah tungefuzu
 
Huyu na kishuka chake hata sehemu ambayo sio offside ananyanyua tu
 
Back
Top Bottom